Mwamvita makamba biography of martin


Mwamvita makamba biography of martin!

Mwamvita Makamba

Mwamvita Makamba
Nchi Tanzania
Kazi yake mwanaharakati

Mwamvita Makamba ni mwanamkeMtanzania mwenye ujuzi katika sekta ya mawasiliano ya simu katika masoko na kuwa na ufahamu wa karibu unaohitajika kuendesha kampuni katika ustawi na pia kudumisha uwajibikaji wake kwa jamii.

Elimu yake

[hariri | hariri chanzo]

Mwamvita alisoma shule nyingi mahali tofauti nchini Tanzania kwani baba yake alikuwa mtumishi wa umma, hivyo ilimpasa kusafiri kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine mara kwa mara.

Mwamvita makamba biography of martin luther

Katika elimu yake ya msingi alisoma Handeni, Lushoto na Morogoro. Alipohitimu elimu yake ya msingi alijiunga na shule ya sekondari ya wasichana Kifungilo girls kwa kidato cha kwanza hadi kidato cha nne.

Baadae alijiunga na shule ya sekondari ya wasichana Kilakala mkoani Morogoro.

Katika shule ya Kilakala alisoma kwa muda mfupi mpaka alipokuja kujiunga na shule ya sekondari Shaaban Robert huko jijini Dar es Salaam mpaka alipohitimu elimu ya sekonda

Copyright ©rippew.pages.dev 2025